- WANAKAMATI WOTE WA KAMATI YA UJENZI PAMOJA NA WASHIRIKA WOTE MNAKUMBUSHWA KUKAMILISHA KIWANGO CHENU ZA UCHANGIAJI WA UJENZI KWA AWAMU YA KWANZA. KILA MWANAKAMATI SH. 500,000 NA KILA MSHIRIKA NI SH. 150,000. MWISHO WA KUTOA HIZO FEDHA NI MWEZI SEPTEMBA, 2013. HATUA HII ITAPELEKEA KUANZA KWA HATUA YA KWANZA YA UJENZI.
- MWINJILISTI ATILIO KILATO ANAWAALIKA WATU WOTE KATIKA TAMASHA KUBWA LA KUCHANGIA UPATIKANAJI WA VYOMBO VYA INJILI NA USAFIRI. TAMASHA LITAFANYIKA JUMAPILI TEREHE 22 SEPTEMBA, 2013 KATIKA UKUMBI WA TEKU, MGENI RASMI AKIWA MHAMASISHAJI MAENDELEO NDUGU ERICK SHIGONGO. KILA ATAKAYE HUDHURIA TAMASHA HILO ATALIPIA SH. 3000 MLANGONI.
IT IS AN EVANGELISTIC PENTECOSTAL CHURCH UNDER A REGISTERED EVANGELISTIC ASSEMBLIES OF GOD (TANZANIA)UNDER THE PRESENT ARCH BISHOP DR. ASUMWISYE MWAISABILA
MATANGAZO
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni