Alhamisi, 29 Agosti 2013

BWANA AMETWAA NA BWANA AMETOA JINALAKE LIBARIKIWE PUMZIKA BISHOP MOSES KULOLA.

Nihuzuni ndani ya kanisa la Eagt kwa kumpoteza muasisi wa kanisa letu,hatuna la kusema zaidi ya kumpa mungu utukufu kwa yote yaliyo tukia.

                                           Enzi za uhai wake akiwa anahubiri.


Maoni 1 :

  1. R.I.P OUR FATHER, YOOOH OOOH!! HAKIKA UMEMALIZA MWENDO, VITA UMEPIGANA VYA KUTOSHA, WASTAHILI TAJI!

    JibuFuta