BAADA YA MKUTANO WA NJE KUFANA SANA, SASA NI ZAMU YA KUPATA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU ILI KUKUA KIROHO. KANISA LIMEANDAA SEMINA NZURI YA NENO LA MUNGU ITAKAYO FANYIKA NDANI YA KANISA.
SEMINA HII YA BARAKA ITAKUWA NA UPAKO WA KIPEKEE KWANI ITAFANYWA NA MWALIMU WA NENO LA MUNGU KUTOKA KANISA LA EAGT-TEMEKE-DAR ES SALAAM.
SEMINA ITAANZA TAREHE 19/08/2013 HADI 24/08/2013 KUANZIA SAA 10.00 JIONI.
WATU WOTE MNAKARIBISHWA, MSISITIZO PIA UKIWA KWA WOTE WALIO OKOKA KATIKA SIKU ZA MKUTANO NA WASHIRIKA WOTE.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni