Ijumaa, 19 Julai 2013

THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY WAKIWA KATIKA HUDUMA LEO UYOLE

hiiiii ni huduma ya watu wa mungu kwa jamii, sio mahubiri tu hapa nikazi nyingi kama jinsi Yesu alivyo agiza kuwajri yatima na wajane kwa kweli yesu ni mkuu sana katika huduma hii, hapa misaada ikitolewa na THE PARAPANDA OUTREACH MINISTRY.

Jumapili, 14 Julai 2013

Jumamosi, 13 Julai 2013

USHINDI KWA ADUI ZAKO


Mtumishi wa mungu Aizack Kayayoo, aki hubiri ibada ya asubuhi english servce
 waumini wakiwa ibadani wakati mtu wa mumngu kayayoo akihubiri
Mwalimu Kayayo akizungumzia juu ya kumshinda adui na nguvu ya bwana ilivo na uwezo

Jumatatu, 8 Julai 2013

JINSI NGUVU YA BWANA ILIVYO NA UWEZA.

Mwalimu wa kwaya ya parapanda izack Kayayo akipiga keybord wakati wa ibada
Waumini wa Giligali wakiwa katika maombi yalio endeshwa na mwinjilisti, Mwakitabu
Mchungaji ATILIO akioa neno katika ibada

JINSI MUNGU ALIVYO WATEMBELEA WATU SIKU YA LEO GILIGALI MWANJELWA.

Jumapili, 7 Julai 2013

 hapa wakiwa wana cheza mbele za bwana parapanda.
 watu wakifuatilia uimbaji siku ya leo.
 parapanda kwaya wakiimba ndani ya ibada.
 mwimbaji Aman Sibhale akiimba kwa furaha sana na kwaya ya parapanda
 parapanda kwaya wakicheza na kuimba siku ya leo.

 vijana wa giligali wakicheza ibadani.
 mwalimu wa parapanda Izack kayayo wakwanza akiwajibika jukwaani.
 sehemu ya waumini wa giligali wakiwa makini ibadani siku ya leo.
 umati wawatu ukifuailia uimbaji wakati parapanda walipokuwa wakiimba.


Kwaya parapanda wakiwajibika ibadani.

Jumamosi, 6 Julai 2013

JUMAPILI, NI SIKU YA BWANA KARIBU

KANISA LA EAGT GILIGALI MWANJELWA MBEYA CHINI YA MAKAMU ASKOFU MKUU, MCHUNGAJI DR MWAISABILA NA BARAZA LAKE LA WAZEE LINAWAARIKA WATU WOTE KWENYE IBADA ZA SIKU YA JUMAPILI; IBADA YA KWANZA(SAA 1.00- 3.00 ASBH) KWA LUGHA YA KIINGEREZA NA IBADA KUU KWA LUGHA YA KISWAHILI (SAA 3.00-6.30 MCHANA; IBADA YA JIONI NA SHULE YA JUMAPILI (SAA 9.30-11.30 JIONI). HAKIKA KATIKA IBADA HIZI MUNGU WETU ANAONEKANA SANA, KWAKUWA TUNAMSIFU NA KUMWABUDU YEYE TU, MUWEZA WA MAMBO YOTE.