Jumapili, 7 Julai 2013
hapa wakiwa wana cheza mbele za bwana parapanda.watu wakifuatilia uimbaji siku ya leo.
parapanda kwaya wakiimba ndani ya ibada.
mwimbaji Aman Sibhale akiimba kwa furaha sana na kwaya ya parapanda
parapanda kwaya wakicheza na kuimba siku ya leo.
vijana wa giligali wakicheza ibadani.
mwalimu wa parapanda Izack kayayo wakwanza akiwajibika jukwaani.
sehemu ya waumini wa giligali wakiwa makini ibadani siku ya leo.
umati wawatu ukifuailia uimbaji wakati parapanda walipokuwa wakiimba.
Kwaya parapanda wakiwajibika ibadani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni